Nitafuata njia yangu, Nitaenda mjini, Nitaenda huku na huku, nitulie, Nipe kinywaji poa. Sihitaji ulinzi, Ili niishi, Ninatembea juu ya maji, Ni kwa sababu ya kiburi. Unaninyanyua, Unanibwaga chini, Mbona kusitasita huku na huku. Unaninyanyua juu, Unanibembeleza, Sasa mimi n'naishi Katika Nchi Kame. | Entry #24541 — Variant: Not specifiednone
Finalist |
Naenda andaa njia yangu mwenyewe, naelekea mjini, Kutembea tembea, kutulia tuli, Nitafutie kinywaji sahihi. Sihitaji helmeti, kuyaishi maisha yangu, nimetembea katika maji, Laumu sifa hizi za kijinga. Nipaishe juu, Nichane chane, Vyote unipavyo sio uamuzi ni uongo wa kizamani. Nilete juu, Niweke wote, Sasa najisikia naishi Naishi katika Bakuli la Vumbi. | Entry #24578 — Variant: Tanzaniantanzswa
Winner |