This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
This person has a SecurePRO™ card. Because this person is not a ProZ.com Plus subscriber, to view his or her SecurePRO™ card you must be a ProZ.com Business member or Plus subscriber.
Affiliations
This person is not affiliated with any business or Blue Board record at ProZ.com.
English to Swahili: Opening speech / Risala ya ufunguzi General field: Other Detailed field: Education / Pedagogy
Source text - English The Longest Lecture, 9-14 December 2009, Jagiellonian University
I am most humbled to stand before you on this day, distinguished guests and friends from every region of the world, at the very commencement of a long journey.
This journey is guided by my strong belief that the youth do count in social and human development, in accordance with the United Nations General Assembly’s resolution of its 58th Session of January 2004, agenda item 105, which recognized that youth participation in the development of their communities is prerequisite to human and social development, particularly in developing countries.
I embrace it as an obligation of a world citizen to speak and act on that which can help make our world more peaceful and a pleasant place to live for present and future generations. To pursue these ideals, I am ready – and so must you be - to walk any distance, to speak for any length, to shoulder any burden and to do all that can be feasibly accomplished.
I am thus motivated to speak at length by the millions of people around the world who continue to suffer and experience repression in an age that is meant to be the Age of Information where the unfettered flow of ideas will be the cornerstone of collective human progress. I am motivated by the thousands of innocent human souls that are needlessly losing lives every single day thanks to preventable and needless wars raging around the world. These wars come about as a result of greed and a lack of tolerance amongst world civilizations, world cultures, and world religions. And this lack of tolerance is a lack of democracy, for democracy is all about tolerating what is different. So when I think of these and other sufferings of Mankind today, I am motivated to speak.
Translation - Swahili Hotuba ndefu kuliko zote duniani, Disemba 9-14, mw. 2009,
Chuo cha Jagiellonia
Waageni waalikwa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali duniani, leo ninasimama mbele yenu kwa unyenyekevu mwingi mwanzomi mwa safari ndefu.
Mwongozo wa Safari hii ni imani yangu kwenye umuhimu wa vijana katika maendeleo ya kijami na utu, kama ilivyoandikwa katika azimio la Kamati ya mwuungano wa baraza la kimataifa (58th session) ya Januari 2004, kifungu 105 cha agenda, ambayo ilyotukua kwamba kushughulika kwa vijana kushiriki kwenye maendeleo ya jamii zao ni mwanzo wa maeneleo ya kijamii, hasa katika nich ambazo zipo nyuma kimaendeleo.
Ninatambua kuwa jukum la raia wa dunia ni kusema na kutekeleza yale ambayo yatachangia kuimarisha amani na uema wa maisha ya kizazi chetu na vivazi vya kesho. Kutekeleza mawazo haya nipo tayari – kama wewe unavyotakiwa kuwa – kutembea umbali wowote, kuzungumza kwa muda wowote, pia kubeba hamali na kufanya chochote unachoweza kukalilisha kutekeleza hilo.
Ndivyo basi ninahamasishwa kutoa risala na bilioni wa watutu duniani wanoendelea kuteseka na kushuhudia ugugumko tukiishi katika dahari ya takwimu ambapo urahisi wa kushirikiana kimawazo ni jiwe la msingi katika maendeleo ya utu. Ninahamasishwa na maelfu za roho za watu ambao wanapoteza maisha zao kila siku kutokana na wita zinazoweza kuzuiwa na zisizo na sababu duniani. Hizi wita huendeshwa kwa sababu ya tamaa, upungufu wa uvumilivu katika tamaduni na dini za dunia. Upungufu huo wa uvumilivu ni upungufu wa demokrasia, kwasababu demokrasia ni vyote yale yanayo onesha uvumilivu kwa yale yaliyo tofauti. Mawazo ya haya na matateso mengine ya watu leo duniani zinanihamasisha nitoe hotuba hii.
Swahili to Polish: Zemsta - aleksander fredro / Kisasi General field: Art/Literary
Source text - Swahili 1.
Piękne dobra w każdym względzie:
Lasy - gleba wyśmienita -
Dobrą żoną pewnie będzie -
Co za czynsze! - To kobiéta!
Trzy folwarki...
Miła wdowa.
Arcymiła, ani słowa...
Cóż, polewki dziś nie dacie? (alkohol – polewka)
Długoż na czczo będę czekać?
Nie, nie trzeba rzeczy zwlekać...
Qua opiekun i qua krewny (niby opiekun, niby krewny)
Miałbym z Klarą sukces pewny:
Ale Klara, młoda, płocha,
Chociaż dzisiaj i pokocha,
Któż za jutro mi zaręczy!
2.
Bóg z waszmością, mój cześniku.
Pędząc czwałem na rozkazy,
Zamęczyłem szkap bez liku,
Wywróciłem ze sto razy,
Tak że z nowej mej kolaski (dorożki, powozu)
Gdzieś po drodze tylko trzaski.
A ja za to ręczyć mogę,
Że mój Papkin tu piechotą
Przewędrował całą drogę,
A na podróż dane złoto
Gdzieś zostawił przy labecie. (grając w karty, hazard)
Patrz, cześniku - poznasz przecie...
Cóż mam poznać?
Wystrzelony,
Wypalony.
Gdzieś na wrony.
Gdzie, do kogo - milczeć muszę;
Lecz nie karty są przyczyną,
Żem się w drodze spóźnił nieco.
Ani ziewnął! na mą duszę!
Tak z mej ręki wszyscy giną!
3.
Wszak - mówiłam - albo koty,
Albo Papkin nam się zjawił.
Cóż sprowadza w nasze strony?
Miłe wszystkim nam zdarzenie.
Tym zdarzeniem?
Twe zamęście.
Moje?
Właśnie miałem szczęście
Mieć u siebie na wieczerzy
Dam niewiele, ale jakich!
Któż, z kim swata?... (zmawiać,umawiać)
Szmer się szerzy:
Za mąż idzie piękna Hanna.
Ten zapewnia, ów nie wierzy,
Ale każdy z ócz mych czyta. (z moich oczu)
Wtem kobieta,
Lecz w zazdrości diablik mały,
Wciąż mnie szczypiąc pod serwetą,
Na pół z płaczem dwakroć pyta: (dwa razy pyta)
"Skąd masz styczność z Hanny losem?"
"Ach, spokojną bądź w tej mierze -
Szepnę w uszko wdzięcznym głosem -
Przyjaciela Hanna bierze".
Translation - Polish 1.
Kwa vyoyote mali za kunusuru:
Msitu wenye ardhi yenye rutuba –
Atakuwa mke anayestahili –
Kodi gani hii? – Bitni!
Mashamba matatu…
Mjane mwema.
Arcymiła, hana maneno…
Aghadhabu leo mvinyo hautanipa?
Mpaka lini kiu initawale?
Hapana, hatuhitaji shughuli zichelewe…
Mlezi wa uwongo na binamu wa uwongo.
Miałbym z Klarą sukces pewny:
Ale Klara, młoda, płocha,
Chociaż dzisiaj i pokocha,
Któż za jutro mi zaręczy!
2.
Bóg z waszmością, mój cześniku.
Pędząc czwałem na rozkazy,
Zamęczyłem szkap bez liku,
Wywróciłem ze sto razy,
Kwa namna ambayo chombo changu
cha kusafiria njiani kililia.
Kwa vyovyote ninaweza kukuhakikishia,
Papkin wangu katembea njia nzima,
Na dhahabu aliyopewa kabla ya safari,
alipoteza akicheza kamali.
Mlinzi, angalia utatambua…
Nitatambua kitu gani?
Kapelekwa huku, kule
Kapelekwa mputa mptua.
Wapi na kwa nani – ni siri yangu jamani;
Kamali, ndiyo mtindo wangu,
lakini si sababu kuchelewa kwangu.
Hata hakuniangalia!
Mikononi mwangu wote wanakufa!
3.
Wszak - mówiłam - albo koty,
Albo Papkin nam się zjawił.
Cóż sprowadza w nasze strony?
Miłe wszystkim nam zdarzenie.
Tym zdarzeniem?
Twe zamęście.
Yangu?
Kwani nilikuwa na furaha
Kwa kuwakaribisha mlo wa jioni
Sitawapa kiasi kingi, lakini ni kitamu!
Ni nani atakayewakutanisha?
Umbea umeenea:
Binti Hanna, mrembo huyu anaozeshwa
Hawa wanauhakika, wengine hawaamini,
macho yangu yanasema ukweli
hebu yaangalieni.
Mwanamke huku, lakini akiwa na wivu huwa shetani mdogo,
Ananifinya, chini chini
Machozi yanamlengalenga,
lakini anauliza mara mbili mbli
„Wasikia wapi Hanna anaozeshwa?”
Wasiwasi acha, na hofu ifiche
Sauti yangu ya busara sikioni, iisikilize,
Hanna wetu, mrembo mkweli
Ataolewa na rafiki anayemstahili.
English to Swahili: Book of African Records General field: Art/Literary Detailed field: Poetry & Literature
Source text - English 1. It all began in AFRICA
2. The first heartbeat, the first drumbeat...
3. The first irrigation system of the world; The first calendar of the world;
4. The oldest university known to Mankind;
5. Even coffee...It all began in AFRICA.
6. We shall take humanity to the next level;
7. The next breakthrough for all Mankind shall be from Africa;
8. The next invention, the next big discovery, the next giant step...shall be from Africa.
9. Lest we forget, we used to lead the world;
10. We used to show the world how it is done;
11. We are the sons and daughters of the soil;
12. The sons and daughters of the Pharaohs of Egypt.
13. From the bosom of the Earth,
14. The sleeping giant called Africa is about to answer a wake-up call.
15. The biggest comeback story of all Time.
Translation - Swahili 1.Kila kitu kilianzia AFRIKA
2.Mdundo wa kwanza wa moyo, mdundo wa kwanza wa ngoma.
3.Mwazilishi wa kwanza wa mfumo wa umwagiliaji; kalenda ya kwanza ya ulimwengu.
4.Chuo kikuu kikongwe zaidi kinacho julikana na Binadamu.
5.Hata kahawa…..ilianzia AFRIKA
6.Tutaupeleka ubinadamu kwenye hatua nyingine.
7.Mafanikio yatakayo patikana hivi karibuni kwa binadamu wote yatakuwa yametoka AFRIKA.
8. Uvumbuzi, ugunduzi mkubwa, hatua kubwa kabisa itakayofuata…vyote vitatoka Afrika.
9.Tusije sahau sisi ndio tulikuwa tukiuongoza ulimwengu.
10.Tulikuwa tukiuonyesha ulimwengu jinsi vitu vinavyotakiwa kufanywa.
11.Sisi ni wana na binti wa hii ardhi
12. Sisi ni wana na binti wa Firauni wa Misri
13.Kutoka katika kitovu cha ulimwengu
14.Jitu lililolala liitwalo AFRIKA linakaribia kuamka.
15. Simulizi ya kurejea tena kwa kishindo kupita nyakati zote
...
More
Less
Experience
Years of experience: 17. Registered at ProZ.com: Feb 2007.
A passionate multilingual, freelance translator. A good listener with a “can-do” attitude who embraces constructive criticism and inspires trust and confidence in clients and colleagues alike. An adept in the area of culture and it is aspects of Language.
Co-founder of the African Festival in Cracow - an educational and cultural public event dedicated to exhibit the beauty and diversity of the African continent and it's peoples.
Specialties
International Project Managment, Non-profits, translations