This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
Swahili to Luhya English to Luhya Lingala to Luhya Swahili to English Luhya to English Lingala to English Swahili to Lingala Luhya to Lingala English to Lingala Swahili (monolingual) Luhya (monolingual) English (monolingual) Lingala (monolingual)
This person has a SecurePRO™ card. Because this person is not a ProZ.com Plus subscriber, to view his or her SecurePRO™ card you must be a ProZ.com Business member or Plus subscriber.
Affiliations
This person is not affiliated with any business or Blue Board record at ProZ.com.
Open to considering volunteer work for registered non-profit organizations
Rates
Portfolio
Sample translations submitted: 1
Swahili to Luhya: Janga la Ukimwi
Source text - Swahili Janga la ukimwi limekua donda sugu nchini Kenya hasa katika jimbo la Busia,ambalo lipo upande wa magharibi ya taifa la Kenya.Hii nikulingana na utafiti uliofanywa hivi majuzi na shirika la SINOGET lilioko nchini Marekani.Utafiti umeonyesha kwamba asilimia 65% ya wakaazi wa jimbo hilo wameathirika na ugonjwa huo na asilimia 20% ameathirika kwa njia moja au nyingine.Kutokana na janga hili watoto wengi wamesalia kua yatima hata wengine kua chokoraa.Kina yahe au wazee katika jamii wameachiwa jukumu la kuwalea yatima hao huku lindi la umaskini likiwakodolea macho wasijue la kufanya ilikujinasua na mzigo huo wa ulezi wangali hawajiwezi kwa kukosa afya na uzee kuwalemea.Kutokana na hayo jimbo hilo limerudi nyuma kiuchumi kwa kukosa vijana chipukizi wa kuinua na kuendeleza uchumi,shule zimebaki mahame kwa uhaba wa wanafunzi pamoja na walimu,kumekua na ndoa za mapema kwa watoto wa kike na wengi hufa hupoteza maisha wakati wa kujifungua kwa udhaifu wa miili yao kutoweza kuhimili makali ya uzazi.Serikali imeamua kuchukua usukani kuhakikisha ugonjwa umedhibitiwa kwa kuelimisha jamii mkubwa kwa mdogo,na kuhakikisha watoto wanarudi shule kusoma kupitia mpango wa serikali wa elimu ya bure kwa watoto na kuwapatia mtaji wa biashara kwa wakaazi ilikufufua uchumi kwenye jimbo hilo.Kupitia kwa wadhamini,wahisani na serikali .PAMOJA TUANGAMIZE UKIMWI.
Translation - Luhya Amalwaye ka ukimwi ni madinyu muno mu siolo sia Kenya munu muno mu lukongo lwa Busia,luyia lwa Kenya. Olondokhana nende uchunguzi bhwa chusi chusi orula mu shirika la SINOGET eriri mu sialo sie Ingerekha. Uchunguzi bhwekesie bhandu 65% abhari mu lukongo luno bhari abhalwaye handi 20% bhanyorere mungira ndala au indi. Olondokhana nende amalwaye kano abhana bhangi ni abhafwira bhandi ni chokoraa. Abharaga nende bhakofu orula muluyia luno bhari nende majukumu akohusia abhafwira abho eno imbosi umaskini ibhakhondole imoni bhakoribhwe esio khola khwemalamo mu mzigo kwohusia bhene sibhenyala mu bhulamu nende vukofu. Olondokhana nende ako luyia oluo luri inyuma okhula khubhera abharaga abhakhusia nende khuendelezia sialo bhaumao,evikuli vidong'era vihaya obhera wanafunzi vaumao bhiosi walimu nende wanafunzi vengire mu ndoa ni bhasisiri hu bhana bhesikhasi abhangi bhafwa mu khuibhula hubhera udhaifu mu mibhiri kiambhu ekiranyala machuni aka bhwibho. Serikali iamue obhukula bhweyango khuekesia obhulwaye bhumanyikhana mu jamii abhakhongo nende abhadidi handi ambhana vafunyire musomero hubhirira ingira ya serikali eya elimu ye bhikhaya khubhana nende obheresia bhandu matongolo keinganga khubhakhusie luyia olwo, khubhirira abhemeresi,bhesisa nende serikali. ALALA KHUEKANE UKIMWI
More
Less
Experience
Years of experience: 8. Registered at ProZ.com: Jun 2021.