Swahili to English: THE STORY OF A FOOLISH RABBIT AND A WISE COCK General field: Art/Literary Detailed field: Poetry & Literature | |
Source text - Swahili SWAHILI
Palikuwa na marafiki wawili,sungura na jogoo.Siku moja wakiwa matembezini wazo likamjia sungura ya kwamba,kila mtu aendapo nyumbani aende akamchinje shingo bibi yake.Basi,wote wawili wakakubaliana.Sungura alipofika kwake,akamchinja bibi yake lakini jogoo hamkunchinja wake.Jogoo akamshauri bibiye ya kwamba sungura atakapokuja keshoye,afiche kichwa chake kwenye mapawa yake.Kweli keshoye sungura alikuja kumtembelea rafiki akiwa na huzuni bila kujua jogoo hakumchija wake.
FUNZO
Chochote munachokubaliana na marafiki,uwe mwenye akili si pumbavu. | Translation - English ENGLISH
There were once two friends, a rabbit and a cock.One day as they were walking around, an idea came on the rabbit that each one of them to go home slaughter their wives' necks. So, they both agreed. The rabbit once reaching home, slaughtered his wife. The cock after reaching his home didn't slaughter his wife. The cock instead advised her wife that the following day, she should hide her head in her wings. For sure, the rabbit came that following day to visit his friend mourning without knowing that the cock didn't slaughter his wife.
MORAL LESSON
Whatever you decide as friends,don't be a fool but a wise one. |