English to Swahili: The Blacklist Series EP 218 Vannesa Cruz. Tom & Liz Conversations General field: Art/Literary Detailed field: Cinema, Film, TV, Drama | |
Source text - English They're not just passports. You put them in a box under the floor in our home. They represent everything I’m trying to forget.
I know. I wouldn't ask unless it was important.
I'm not gonna walk into evidence and steal them for you. Why would I do that?
| Translation - Swahili Sio tu kwamba ni pasi za kusafiria. Umeziweka kwenye boksi chini ya sakafu nyumbani kwetu. Zinawakilisha kila kitu nachotaka kusahau.
Nafahamu. Nisingekuuliza vinginevyo ilikuwa muhimu.
Siwezi kuingia chumba cha vithibitisho nikaviibe kwa ajili yako!. Kwanini nifanye hivyo?. |
Masai to Swahili: MASAI SAYINGS AND PROVERBS General field: Other Detailed field: Art, Arts & Crafts, Painting | |
Source text - Masai . Mipej Orpul Litadaare
. Kaara Silale Kaara Nemujin Anaikujan Nikujan
. Miarr Intu Igwanare
. Meeta Olosek Olopeny | Translation - Swahili . Usiache mbachao kwa Msala Upitao
. Pita huku nipite kule tukutane katikati.
. Usiusemee Moyo
. Mbinu hazina mwenyewe* |