English to Swahili: What's in a name? ( A Kind of Marriage, Buchi Emecheta) General field: Social Sciences | |
Source text - English "You know, Auntie Bintu, it is true when people say that we name a new-born child according To the conditions in the family during its birth."
I nodded not wanting to interrupt Amina's flow of words.
"Not only is it true, but many a time we behave according To the hope and expectation our people have in naming us..."
| Translation - Swahili "Unajua, Shangazi Bintu, ni kweli watu wanaposema kuwa mtoto aliyezaliwa hupewa jina kulingana na hali zilizo kwenye familia hiyo wakati anapozaliwa."
Nilitikisa kichwa kuonyesha kukubaliana naye kwani sikutaka kusitisha maneno yake.
"Si kweli tu,lakini mara nyingi tabia zetu huambatana na matarajio na makusudi ya watu katika kutupea hilo jina..." |