This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
Freelance translator and/or interpreter This translator helped to localize ProZ.com into Swahili
Data security
This person has a SecurePRO™ card. Because this person is not a ProZ.com Plus subscriber, to view his or her SecurePRO™ card you must be a ProZ.com Business member or Plus subscriber.
Affiliations
This person is not affiliated with any business or Blue Board record at ProZ.com.
English to Swahili: Research Detailed field: Environment & Ecology
Source text - English Given that various species of Tuna that are being targeted by RTTP are found within a large area in the Indian Ocean, any tagging programme must encompass as large an area as possible where this fish go. Countries found in the tropics of the Indian Ocean are cooperating to ensure that this programme, which is vital to preserving Tuna and the fishing of Tuna of every country is successful by allowing the project Ships to catch Tuna and small bait(This are used to attract the Tuna) in their territorial waters and facilitating their Scientist and Researchers to be involved in this work.
During the period that this programme of tagging Tuna will be going on, a lot of fish will be caught and released back into the water alive after a small plastic tag has been attached to their bodies. The Tuna will be tagged just behind the second dorsal fin. Every tag will be 15 cm long with a unique identification number that will identify the fish and details of communicating with IOTC.
Reward for returning the tag: If you get a Tuna tag write the number, length, date and place of catch. If you report the Tuna catch to get your prize, please bring the whole Tuna to your Co-ordinator or District Officer. The tags are in three colours; green,white or yellow(orange), BEWARE if you see an orange(yellow)tag it has an electric tag in the Tuna's stomach, do not touch. There will be a reward for every tag returned and a special prize for every yellow/orange tag.
Translation - Swahili Kwa sababu aina mbali mbali za Jodari ambazo zinalengwa na RTTP zinapatikana sehemu kubwa katika Bahari lote la Hindi. Mpango wowote wa kuweka vipande lazima uhusishe pahali kumbwa iwezekanavyo ambayo hizi samaki zina enda. Nchi za Eneo ya Jua ya Pwani la Bahari la Hindi zina husiana kuona huyu mpango ambayo ni muhimu sana wa kuifadhi Jodari za Bahari la Hindi na uvuvi wa Jodari wa kila nchi umefanikiwa kwa kuruhusu meli za mradi kushika Jodari na kuvua samaki dogo(hizi zinatumiwa kuvutia Jodari) ndani la viziwa vya maji yao na kuwezesha wanasayansi na watalaam wao kuhusika na hii kazi.
Katika wakati wa mpango huyu wakuweka Jodari vipande utakuwa ukiendelea samaki wengi watashikwa na kuwashiliwa wakiwa hai majini baada ya kipande kidogo cha plastiki kushikanishwa na mili yao. Jodari zitatiwa kipande nyuma tu ya pezi la mpili mgongoni. Kila kitambuzi kita kuwa na urefu wa centi 15 na nambari ya kipekee ambayo ita tambua samaki na mambo inayohusu ujadiliano na IOTC.
Zawadi ya kurudisha kipande: Ukipata kipande cha jodari andika nambari, urefu, siku na pahali iliyo shikiwa. Ukipiga repoti ya Jodari yako ndiye upate zawadi yako, tafadhali leta Jodari mzima kwa Msimamizi wako au kwa afisa wako wa ulaya. Vipande ni za rangi tatu, hizi ni rangi wa majani, nyeupe au manjano (rangi ya machungwa), CHUNGA ukiona kipande cha rangi ya machungwa (manjano) ina kipande cha umeme ndani ya tumbo ya Jodari usiguze. Kutakuwa na zawadi kwa kila kipande ambacho kitarudishwa na zawadi maalum kwa kila kipande cha rangi ya manjano/ machungwa.
English to Swahili: Engineering
Source text - English ENGINEERING
The steady increase in the size and power of electricity distribution systems not only makes more power available to the consumer in normal operation, it also raises the short-circuit level. It is therefore extremely important to adequately protect electrical plant against overload, to handle high short-circuit currents and to selectively isolate the affected section of the power system in case of a fault. In the case of a short-circuit the stress on the switchgear as well as on other system components can be reduced substantially if the short-circuit current can be cut off before it has a chance to reach a high level.
Translation - Swahili UHANDISI
Uongezeko ambayo unaendelea wa ukubwa na nguvu za mifumo ya utowaji wa umeme haileti tu uongezeko wa nguvu kwa wateja kwa huduma ya kawaida, mbali inainua kiwango cha kosa ya umeme. Kwa hivyo ni muhimu sana kulinda kiwanda cha umeme kishizidiwe na nguvu, kiweze kuifadhi kosa la umeme la kiwango cha juu, nakuchunguza na kutenga eneo la kiwanda ambacho kinaweza kuwa na kasoro. Kama kuna kosa la umeme mkaso kwa chombo cha kupindua na kwa chombo za mifumo zingine unaweza kupunguzwa kiasi kama kosa la umeme linaweza kusimamishwa kabla lijapata nafasi yakufika kiwango cha juu.
English to Swahili: Legal
Source text - English Legal
Notwithstanding any other applicable statutory warranties, this mobile phone is guaranteed against any manufacturing defect for a period of ONE (1) year from the date of purchase shown on your invoice. Nevertheless if the statutory warranty in force in your country exceeds ONE (1) year, the statutory warranty is not affected by the manufacturer’s warranty. The present warranty terms also apply to the battery and accessories but for a period of SIX (6) months from the date of purchase shown on your invoice.
Translation - Swahili Sheria
Bila kuangalia udhamini mwingine wowote wa kisheria, hii simu ya rununu inadhaminiwa kutokana na kasoro yoyote ya utengenezaji kwa muda wa mwaka mmoja (1) kutoka siku ya ununuzi ambayo iko kwenye bili yako. Lakini kama udhamini wa kisheria nchini yako unapita muda wa mwaka mmoja (1) udhamini wa kisheria hauathiri udhamini wa mtengenezaji. Mapatano haya ya udhamini pia yanasimamia beteri na vifuasi vingine kwa muda wa mwezi sita (6) kutoka siku ya ununuzi ambayo inaoneshwa kwenye bili yako.
Adobe Acrobat, Frontpage, Google Translator Toolkit, Idiom, LocStudio, Microsoft Excel, Microsoft Word, OmegaT, CSS, HTML, Ms Office Suite, Ms Publisher, XML, Powerpoint, SDLX, Trados Studio, Wordbee, Wordfast, XTM